Baada ya Kupoteza Hadhi Yangu …

Huimin    Mji wa Jiaozuo, Mkoa wa Henan Kila wakati nilipoona au kusikia kuhusu mtu aliyekuwa amebadilishwa naye kujisikia mwenye huzuni, dhaifu au mnunaji, na kutotaka kufuata tena, basi niliwaangalia kwa d…

Hukumu na Kuadibu Kwake 2018-01-12 18:18:37

Kurudi kwa Mwana Mpotevu

Wang Xin Mjini Harbin Katika mwaka wa 1999, nilikuwa kiongozi kutokana na mahitaji ya kazi ya kanisa. Ingawa nilijisikia sana kwamba sikustahili hiyo kazi wakati kwanza nilipoanza, baada ya muda, kutokana na asili ya…

2018-01-12 19:18:37

Ulinzi Bora Zaidi wa Mungu kwa Wanadamu

Mji wa Kuiqian Rizhao, Mkoa wa Shandong Kituo changu katika maisha, au hadhi, kilikuwa kitu ambacho sikuweza kamwe kukiachilia, na wakati Mungu alitengeneza mazingira yaliyonifichua, nilikuwa hasi, nikilalamika, na ku…

2018-01-12 20:18:37

Huduma ya Aina Hii Kwa Hakika Ni Ya Kudharauliwa

Ding Ning Mji wa Heze, Mkoa wa Shandong Katika siku chache zilizopita, kanisa limepanga mabadiliko katika kazi yangu. Nilipopokea wajibu huu mpya, niliwaza, "Ninahitaji kuchukua fursa hii ya mwisho kuita mkutano na …

2018-01-12 21:18:37

Roho Ya Majivuno Kabla ya Kuanguka

Baixue Mji wa Shenyang Kwa sababu ya mahitaji ya kazi, nilihamishiwa hadi sehemu nyingine ya kazi. Wakati huo, nilikuwa na shukurani sana kwa Mungu. Nilihisi kwamba nilikuwa ninapungukiwa sana, lakini kwa njia ya ukuz…

Hukumu na Kuadibu Kwake 2018-01-12 22:18:37

Kutambua Kuwa Nimekuwa Nikiitembea Njia ya Mafarisayo

Wuxin Mji wa Taiyuan, Mkoa wa Shanxi Kitu ambacho tumezungumzia mara kwa mara katika ushirikiano wa awali ni njia ambazo zilitembewa na Petro na Paulo. Inasemekana kwamba Petro alizingatia kujijua mwenyewe na kumjua M…

2018-01-12 23:18:37

Ninaona njia ya kumjua Mungu

Xiaocao Mji wa Changzhi, Mkoa wa Shanxi Siku moja, niliona kifungu hiki kifuatacho cha neno la Mungu kwa maandishi “Namna Petro Alivyopata Kumjua Yesu”: “Kwenye kipindi kile alichomfuata Yesu, Petro alitazama na kutia…

2018-01-13 00:18:37

Usitafute Mbinu Mpya Unapomtumikia Mungu

Heyi   Mji wa Zhuanghe, Mkoa wa Liaoning Nilikuwa nimepandishwa cheo tu kuchukua jukumu la kiongozi wa kanisa. Lakini baada ya kipindi cha kazi ngumu, sio tu kuwa kazi ya kiinjili ilikuwa bila uhai kiasi, lakini …

2018-01-13 01:18:37

Kiini cha Ulipizaji Kisasi wa Mtu Binafsi

Zhou Li Mji wa Xintai, Mkoa wa Shandong Wakati fulani kitambo, tulihitaji kuzichora wilaya katika eneo letu, na kwa msingi wa kanuni zetu kwa ajili ya uteuzi wa viongozi, kulikuwa na ndugu mmoja wa kiume aliyekuwa …

Mahusiano ya binadamu 2018-01-13 02:18:37

Asili ya Binadamu Haiwezi Kupimwa kwa Sura

Yang Rui Mji wa Yuci , Mkoa wa Shanxi Siku moja, nilisikia kwa ghafla kuwa baba yangu alifukuzwa kutoka kwa kanisa. Nilishangaa kabisa wakati huo na sikuweza kuelewa. Katika moyo wangu, baba yangu alikuwa ndiye mtu…

2018-01-13 05:18:37

Kuvunja Pingu

Zhenxi Jijini Zhenzhou, Mkoani Hena Miaka kumi iliyopita, nikiendeshwa na asili yangu ya kiburi, sikuweza kamwe kutii kikamilifu mipangilio ya kanisa. Ningetii ikiwa ilinifaa, lakini iwapo haingenifaa ningechagua i…

2018-01-13 07:18:37

Matunda Machungu ya Kiburi

Hu Qing Jijini Suzhou, Mkoani Anhui Nilipoona maneno ya Mungu yakisema: “Wale miongoni mwenu ambao huhudumu kama viongozi daima hutaka kuwa na ubunifu mkubwa, kuwa wazuri kuliko wengine, kupata hila mpya ili Mungu …

2018-01-13 08:18:37

Kuna Njia ya Kumaliza Kiburi

Xiaochen Jijini Zhengzhou, Mkoani Henan Kiburi ni dosari yangu ya mauti. Nilikuwa mara kwa mara nikifichua tabia yangu ya kiburi, kila mara nikifikiri kuwa nilikuwa bora kuliko watu wengine. Hasa niliporekebisha ib…

2018-01-13 09:18:37

Maneno ya Mungu Yameniamsha

Miao Xiao Mji wa Jinan, Mkoa wa Shandong Katika siku zilizopita, nilikuwa daima nikifikiri kuwa Mungu aliposema “ni kibaraka na msaliti anayekikimbia kiti kikuu cheupe cha enzi” Alikuwa anaashiria wale wanaoikubali…

2018-01-13 12:18:37

Ufahamu wa Kuokolewa

Lin Qing Jijini Qingzhou, Mkoa wa Shandong Kwa miaka hii mingi ya kumfuata Mungu, nimeacha furaha ya familia yangu na mwili, na nimekuwa na shughuli nyingi siku nzima nikitimiza wajibu wangu kanisani. Kwa hiyo nili…

2018-01-13 13:18:37

Roho Mtakatifu Hufanya Kazi kwa Njia yenye Maadili

Qin Shuting Jijini Linyi, Mkoani Shandong Kwa muda fulani, ingawa sikuwa nimeacha kula na kunywa manen0 ya Mungu, sikuhisi mwanga kamwe. Nilikuwa nimeomba kwa Mungu kwa ajili ya hili lakini, baadaye, bado sikuwa ni…

2018-01-13 16:18:37

Ni Nini Husababisha Uongo

Xiaojing Jijini Heze, Mkoani Shandong Kila mara nilipoona neno la Mungu likituomba kuwa watu waaminifu na kuzungumza kwa usahihi, niliwaza, “Sina tatizo na kuzungumza kwa usahihi. Si ni kusema tu kitu jinsi kilivyo…

2018-01-13 17:18:37

Vigezo vya Mtu Mwema Kwa Dhati

Moran   Mji wa Linyi, Mkoa wa Shandong Tangu nilipokuwa mtoto, siku zote nilishikiza umuhimu mkubwa kwa jinsi watu wengine walivyoniona na ukadiriaji wao kwangu. Ili niweze kupata sifa kutoka kwa wengine kwa kila…

2018-01-13 18:18:37

Tafakuri kuhusu Kubadilishwa

Yi Ran    Mji wa Laiwu , Mkoa wa Shandong Wakati fulani awali, kwa sababu yangu kutoelewa kanuni iliyotumiwa na kanisa ya masahihisho ya wafanyakazi wa kanisa, wakati kanisa lilibadilisha kiongozi, dhana ili…

2018-01-13 20:18:37

Kila Neno la Mungu ni Maonyesho ya Tabia Yake

Hu Ke    Mji wa Dezhou, Mkoa wa Shandong Wakati wowote nilipoona maneno haya yaliyosemwa na Mungu, nilihisi kuwa na wasiwasi: “Kila sentensi Niliyoizungumza inaendeleza tabia ya Mungu. Mngefanya vizuri zaidi…

2018-01-13 22:18:37

Siri Niliyoishikilia kwa Kina Ndani ya Moyo Wangu

Wuzhi    Mji wa Linyi, Mkoa wa Shandong Katika majira ya kuchipua ya mwaka wa 2006, nilinyang'anywa cheo changu kama kiongozi na nikarudishwa nilikotoka kwa sababu nilifikiriwa kuwa "bwana ndiyo" sana. Nilip…

2018-01-14 04:18:37

Kubagua dhidi ya Watu wa Nje ni Uovu Sana!

Xiaojin Kaunti ya Pan’an , Mkoa wa Zhejiang Katika mwezi wa Februari mwaka wa 2007, kanisa lilipokea mpango wa kazi uitwao "Nyunyizia na Uwape Waumini Wapya ili Kuwasaidia Kukita Mizizi Haraka Iwezekanavyo." Ulisisi…

2018-01-14 08:18:37

Kupima kwa Sura Ni Upuuzi Tu

Yifan    Jiji la Shangqiu, Mkoa wa Henan Katika siku za nyuma, mimi mara nyingi niliwapima watu kwa sura zao, nikiwachukua watu wachangamfu, wajuzi na wambuji hasa kwa heshima sana. Niliamini kwamba watu kam…

2018-01-14 16:18:37

Nilipitia Wokovu wa Mungu

Cheng Hao    Mji wa Yongzhou, Mkoa wa Hunan Kwa neema ya Mungu, mimi na mke wangu tulipandishwa vyeo hadi kwa timu ya injili ya pili ili kutimiza wajibu wetu. Muda mfupi uliopita, mke wangu alipandishwa cheo…

2018-01-14 17:18:37