18 Wito wa Tarumbeta ya Hukumu Umesikika

Mungu ameonekana na kuzungumza,

Akiyatikisa madhehebu yote.

Ananena ukweli, kuhukumu udhalimu,

na kuwashinda maadui Wake wote.

Wote wamwabudu na kusifu matendo ya Mungu.

Nyota zinajipanga kusalimu kurudi kwa Mungu.

Watu wote duniani wanampokea kwa shangwe

Ameupata ufalme, Amekuja duniani.

Ukweli wa maneno ya Mungu unatawala duniani.

Mungu ni mshindi kabisa.

Maneno Yake yanatimiza yote, kazi Yake imekamilika.

Tunasifu kwamba Yeye ni mtakatifu, mwenye haki.

Wote wafuata sauti ya Mungu hadi kwenye kiti Chake.

Sote tunatii hukumu ya Mungu,

na kupitia utakaso.

Uvutiwaji, mshangao vinaibuka mioyoni mwetu.

Tunatoa nafsi zetu zote

kumshuhudia Kristo, kukamilisha misheni zetu.

Mungu sasa ni Mfalme, maneno Yake yatutawala.

Wote husujudu na kusifu jina lake takatifu.

Ukweli wa maneno ya Mungu unatawala duniani.

Mungu ni mshindi kabisa.

Maneno Yake yanatimiza yote, kazi Yake imekamilika.

Tunasifu kwamba Yeye ni mtakatifu, mwenye haki.

Mungu ni uadhama, Mungu ni hasira,

Hakubali kosa la mwanadamu.

Shetani yuko katika mapambano ya kifo,

akipiga kelele kutoka motoni.

Mungu anaiharibu China, mahali pa pepo,

hivyo kutuonyesha haki Yake.

wateule Wake wanashuhudia katika hali ngumu.

Mungu amempiga Shetani, kufanya washindi.

Ukweli wa maneno ya Mungu unatawala duniani.

Mungu ni mshindi kabisa.

Maneno Yake yanatimiza yote, kazi Yake imekamilika.

Tunasifu kwamba Yeye ni mtakatifu, mwenye haki.

Maneno ya Mungu sasa yameenea

hadi miisho ya dunia,

na ufalme Wake umefika.

Jua la haki

linauangazia ulimwengu wote,

vitu vyote vimefanywa upya.

Ukweli wa maneno ya Mungu unatawala duniani.

Mungu ni mshindi kabisa.

Maneno Yake yanatimiza yote, kazi Yake imekamilika.

Tunasifu kwamba Yeye ni mtakatifu, mwenye haki.

Iliyotangulia: 17 Mungu Yuko Kwenye Kiti cha Enzi

Inayofuata: 19 Mandhari ya Ufalme ni Kama Mapya Daima

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp