111 Natembea Katika Njia ya Kwenda kwa Ufalme

1

Lo ~ lo ~

Nikitembea kuelekea ufalme,

nikisoma maneno ya Mungu, ninamtazamia.

Ee, maneno yenye maana sana,

kwa ari sana, yamewekwa moyoni mwangu.

Mungu, una wasiwasi kwamba

naweza kudanganywa, kuvunjwa na Shetani.

Maneno Yako yaliniongoza,

yalinipa uhai wa kweli, yakaniweka katika njia hii.

2

Lo ~ lo ~

Kupitia kazi ya maneno Yako,

niliona uovu na giza ya ulimwengu huu.

Nikipigwa na wimbi baada ya wimbi la upepo na mvua,

nikifuata mienendo miovu, nimepoteza mfano wa binadamu.

Huko nilizunguka dunia,

bila chembe ya tumaini, moyo ukiwa umejaa giza.

Ni Wewe uliyeniokoa!

Nikiwa nimefungwa katika maneno Yako, nilikua vizuri na imara.

3

Maneno ya Mungu yanafichua ukweli,

upotovu wangu, ubaya wangu.

Mbinafsi, mwenye tamaa na kiburi,

niliyejaa uongo, karibu bila utu!

Miguuni pa Mungu naanguka chini,

nikiwa nimejawa huzuni, nanyenyekea katika hukumu Yake.

Nimeazimia kuufuatilia ukweli

na kuwa mtu mpya, kutenda maneno ya Mungu na kuishi kwa kudhihirisha mfano wa binadamu.

4

Nikitembea kuelekea ufalme,

nina furaha, nikishiriki injili.

Barabara ngumu ya kutembea kweli,

mateso yanakua zaidi kila siku!

Singeweza kusonga hatua moja;

Maneno ya Mungu yananiongoza, yanatoa nguvu na ujasiri.

Mfuate Mungu hadi mwisho,

niliyeidhinishwa na Mungu, ningekufa nikiwa mwenye furaha.

Eh ~ eh ~ eh ~ eh ~

Niliyeidhinishwa na Mungu, ningekufa nikiwa mwenye furaha.

Iliyotangulia: 110 Kutembea kwenye Njia Sahihi ya Maisha ya Binadamu

Inayofuata: 112 Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp