128 Nampenda Mungu Sana

1

Mungu anapoondoka kutoka kwangu,

machozi yanajaa machoni mwangu,

na Mungu anatabasamu na kunipugia mkono.

Kuna mengi ninayotaka kumwambia,

lakini katika wakati huu, sijui la kusema.

Muda wangu na Mungu unakuja mawazoni,

picha za furaha na kicheko.

Hatuwezi kusahau kiasi ambacho Mungu ametoa ili kutuokoa.

Mafundisho Yake yote ya dhati yanabeba tumaini.

Yakiwa yametiwa moyoni mwangu, yaniongoza mbele.

Ninapomfikiria Mwenyezi Mungu,

nahisi utamu mwingi moyoni mwangu.

Na jinsi ninavyotamani,

eh, jinsi ninavyotamani,

jinsi ninavyotamani kukutana na Yeye tena!

2

Mungu anavyoondoka kutoka kwangu,

Sitaki kumwacha Aende.

Anageuka na kunipungia mkono.

Nataka kumwomba Abaki nami,

lakini siwezi na nahisi uchungu mwingi moyoni mwangu.

Siku kwa siku mafundisho Yake

yananisogeza mbele.

Imara moyoni mwangu, yananiongoza kumfuata Yeye.

Kila siku nitapitia maneno ya Mungu,

na nitafanya wajibu wangu kurejesha upendo Wake kwangu.

Ninapomfikiria Mwenyezi Mungu,

nahisi utamu mwingi moyoni mwangu.

Na jinsi ninavyotamani,

eh, jinsi ninavyotamani,

jinsi ninavyotamani kukutana na Yeye tena!

Iliyotangulia: 127 Nataka Kuwa Mwandani wa Mungu

Inayofuata: 129 Siwezi Kusema Yote Yaliyo Moyoni Mwangu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp