63 Tunapaswa Kukimya Mbele za Mungu Daima

1

Tunapokabiliwa na kushindwa, tutafute ukweli;

tujue nia ya Mungu na tutakuwa na nguvu.

Mwambie ni vitu gani unavyokosa,

shiriki ukweli Wake kila mara.

2

Majaribu huja, yakabili;

keti kimya mbele ya Mungu.

Soma neno Lake, jua ukweli Wake,

rekebisha makosa yaliyo ndani yako.

Mwambie ni vitu gani unavyokosa, shiriki ukweli Wake kila mara.

Tuwe kimya mbele za Mungu, tujitafakari.

Inatupasa tusiuumize moyo wa Mungu

kwa uasi na kujali kwetu miili.

Tuwe kimya mbele za Mungu, tuwe kimya mbele za Mungu.

Tuishi kama wanadamu kwa kuufuata ukweli Wake.

Tuwe shahidi katika majaribu yetu, ili tuweze kumridhisha.

Tuwe kimya mbele za Mungu.

Tuwe kimya na kutafakari mbele za Mungu.

3

Ingawa tunakosa,

tunapaswa kutafuta kumpenda Mungu.

Mradi tunatubu,

kweli tutapata huruma Yake.

Lazima tufuatilie ukweli

na kumshuhudia Mungu.

Huu ni wajibu wetu ambao lazima tuufanye.

Mwambie ni vitu gani unavyokosa, shiriki ukweli Wake kila mara.

Tuwe kimya mbele za Mungu, tujitafakari.

Inatupasa tusiuumize moyo wa Mungu

kwa uasi na kujali kwetu miili.

Tuwe kimya mbele za Mungu, tuwe kimya mbele za Mungu.

Tuishi kama wanadamu kwa kuufuata ukweli Wake.

Tuwe shahidi katika majaribu yetu, ili tuweze kumridhisha.

Tuwe kimya mbele za Mungu.

Tuwe kimya na kutafakari mbele za Mungu.

Tuishi kama wanadamu kwa kuufuata ukweli Wake.

Tuwe shahidi katika majaribu yetu, ili tuweze kumridhisha.

Tuwe kimya mbele za Mungu.

Tuwe kimya na kutafakari mbele za Mungu, mbele za Mungu.

Tuwe kimya mbele za Mungu.

Tuwe kimya na kutafakari mbele za Mungu.

Iliyotangulia: 62 Kujituliza Mbele za Mungu

Inayofuata: 64 Upendo wa Kweli

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp