Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

Upendo wa Kweli wa Mungu

I

Nasimama mbele ya Mungu wangu tena leo.

Moyo wangu una mengi ya kusema

ninapoona uso Wake wa kupendeza.

Nimeacha siku zangu za zamani za kuzurura

nyuma yangu.

Neno Lake linanijaza na raha

na furaha kutoka kwa neema Yake.

Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo huninyunyizia

na kunistawisha ili nikuwe.

Ni maneno Yake makali

ndiyo hunitia moyo nisimame tena.

Mungu, tunakuimbia leo kwa

sababu ya Baraka Zako.

Tunatoa shukrani Kwako leo kwa

sababu Umetuinua.

Mwenyezi Mungu wa kweli ambaye Ametupenda!

Tunakupenda! Ee Mungu! Kweli tunakupenda!

II

Nataka kuwa na shauku ya neno Lako

katika siku zangu zote.

Nakutazamia, Mungu wangu, kwa mwanga

katika kila njia.

Unawanyunyizia na kuwastawisha

watu Wako kwa upendo.

Unatuongoza mbali na

ushawishi wa ibilisi wa kupotosha.

Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo huninyunyizia

na kunistawisha ili nikuwe.

Ni maneno Yake makali ndiyo

hunitia moyo nisimame tena.

Mungu, tunakuimbia leo kwa

sababu ya Baraka Zako.

Tunatoa shukrani Kwako leo kwa

sababu Umetuinua.

Mwenyezi Mungu wa kweli ambaye Ametupenda!

Tunakupenda! Ee Mungu! Kweli tunakupenda!

III

Ndugu! Tuinukeni na tusifu!

Tuutunze wakati huu

tunaoshirikiana pamoja.

Tukiwa huru kutokana na minyororo

ya mizigo ya mwili,

hebu tuonyeshe upendo wetu kwa Mungu

katika matendo halisi,

tutimize wajibu wetu kwa moyo na nuvu.

Tunakupenda, Mwenyezi Mungu!

Hatutawahi kukuacha!

Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo huninyunyizia

na kunistawisha ili nikuwe.

Ni maneno Yake makali ndiyo

hunitia moyo nisimame tena.

Mungu, tunakuimbia leo kwa

sababu ya Baraka Zako.

Tunatoa shukrani Kwako leo kwa sababu Umetuinua.

Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo huninyunyizia

na kunistawisha ili nikuwe.

Ni maneno Yake makali ndiyo

hunitia moyo nisimame tena.

Mungu, tunakuimbia leo kwa

sababu ya Baraka Zako.

Tunatoa shukrani Kwako leo kwa

sababu Umetuinua.

Mwenyezi Mungu wa kweli ambaye Ametupenda!

Tunakupenda! Ee Mungu! Kweli tunakupenda!

Kwa sababu Umetuinua.

Mwenyezi Mungu wa kweli ambaye Ametupenda!

Tunakupenda! Ee Mungu! Kweli tunakupenda!

Iliyotangulia:Wimbo wa Upendo Mtamu

Inayofuata:Meupe na Safi ni Maji yaliyo Kando ya Kiti cha Enzi cha Mungu

Maudhui Yanayohusiana