246 Kufuatilia Ukweli Tu Ndiko Kunaweza Kuleta Uzima

Kupata ukweli na uzima, na kubadilisha tabia,

lazima tukubali hukumu, kuadibu.

Kuwa waaminifu, kutoboronga katika wajibu wetu,

lazima kwa furaha tukubali kupogolewa.

Kuingia katika uhalisi wa ukweli, pata sifa za Mungu,

lazima tutende ukweli katika mambo yote.

Ili kukamilishwa, kulingana na Kristo,

lazima tupitie uchungu mwingi wa majaribu.

Katika makosa ya zamani, mimi hujifunza.

Natamani kusahihisha makosa yangu ya zamani.

Bado nitaendelea kuufuatilia ukweli,

ingawa naweza kuwa na vipingamizi na kushindwa.

Kupitia vipimo, usafishaji naonja upendo wa Mungu,

na kwa hivyo upendo wangu kwa Mungu unakua safi zaidi.

Mungu! Ningependa kukufuata kwa karibu.

Sitaacha kufuatilia ukweli ili nipate uzima.

Nitashikilia njia Yako ya uzima na ushauri,

nikikutolea ushuhuda mkubwa.

Kupata ukweli na uzima, na kubadilisha tabia,

lazima tukubali hukumu, kuadibu.

Kuwa waaminifu, kutoboronga katika wajibu wetu,

lazima kwa furaha tukubali kupogolewa.

Kuingia katika uhalisi wa ukweli, pata sifa za Mungu,

lazima tutende ukweli katika mambo yote.

Ili kukamilishwa, kulingana na Kristo,

lazima tupitie uchungu mwingi wa majaribu.

Kwa hukumu ya Mungu upotovu wangu unabadilishwa.

Nafanya wajibu wangu vizuri, mimi ni binadamu halisi.

Natamani kutii mipangilio ya Mungu,

haijalishi majaribu, uchungu ulivyo mwingi.

Nitapata ukweli na kuwa shahidi.

Nitampenda Mungu, kumshuhudia Yeye.

Mungu! Ningependa kukufuata kwa karibu.

Sitaacha kufuatilia ukweli ili nipate uzima.

Nataka hukumu zaidi ili nitakaswe.

Kupata ukweli, kuokolewa ni heshima yangu.

Kupata ukweli na uzima, na kubadilisha tabia,

lazima tukubali hukumu, kuadibu.

Kuwa waaminifu, kutoboronga katika wajibu wetu,

lazima kwa furaha tukubali kupogolewa.

Kuingia katika uhalisi wa ukweli, pata sifa za Mungu,

lazima tutende ukweli katika mambo yote.

Ili kukamilishwa, kulingana na Kristo,

lazima tupitie uchungu mwingi wa majaribu.

Iliyotangulia: 245 Naomba tu Nimpende Mungu Maisha Yangu Yote

Inayofuata: 247 Ee Mungu, Moyo Wangu Tayari ni Wako

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp