209 Majuto Kutokana na Kupitia Hukumu

1

Ninapopitia hukumu ya Kristo, nashikwa na mhemko.

Kila neno la Mungu ni ukweli, likionyesha ukweli wa upotovu wa binadamu.

Nikikumbuka matendo na tabia yangu, najawa majuto.

Mwenye kiburi, majivuno, mbinafsi na wa kustahili dharau, sina mfanano wa binadamu.

Bila hukumu ya Mungu, bado ningejiamini kuwa mzuri.

Maneno ya Mungu yananionya na kunitahadharisha; mbona siamki?

Ananishawishi tena na tena, upendo Wake unazidi upendo wa mama.

Mungu anatumai kwamba wote watatenda maneno Yake na kumtii.

2

Mungu amenena maneno mengi sana na mapenzi Yake yamefichuliwa kabisa.

Naona kwamba upendo wa Mungu kwa wanadamu ni mkubwa sana na ni wa kweli sana.

Nikikumbuka matendo na tabia yangu, najawa majuto.

Ukaidi na uasi wangu wa mara kwa mara humletea Mungu uchungu sana.

Njia tunayoitembea iliundwa kwa damu na machozi Yake.

Mungu anatumai kuwa tabia zetu zitabadilika hivi karibuni.

Hukumu ya Mungu itakapokuja, sitakimbia tena.

Niko tayari kukubali hukumu na kuadibu ili nisafishwe na kukamilishwa.

Mungu ameweka tumaini kubwa sana ndani yetu,

Mungu bado anasubiri watu wampe mioyo.

Nimeona matarajio Yake ya dhati kwa wanadamu.

Siwezi kushindwa kuridhisha bidii za juhudi ambazo Mungu amefanya.

Nitampenda Mungu na kufariji moyo wake milele.

Iliyotangulia: 208 Hukumu ya Mungu ni Baraka

Inayofuata: 210 Matamanio ya Dhati ya Kutubu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp