Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

95 Maisha ya Mwanadamu Mpya

1

Tuliisikia sauti ya Mungu na tukainuliwa mbele Yake.

Kwa kusoma maneno ya Mungu, kuelewa ukweli, mioyo yetu inakuwa wazi na macho yetu yanaangaza.

Fikira zetu na kutoelewa vinatoweka, tuko uso kwa uso na Mungu.

tunamwona Mungu wa vitendo.

Kwa kutenda ukweli, kutekeleza wajibu wetu, tunaanza maisha mapya.

Kwa kupendana na kusaidiana, hakika tutabarikiwa na Mungu.

Tunatoa mioyo yetu mbele ya Mungu na kukubali uchunguzi Wake.

Waaminifu na kumcha kupitia mapenzi Yake.

Kwa kupitia maneno ya Mungu

na kupata uzima, tunaishi katika nuru.

Kwa kutekeleza wajibu wa mwanadamu kwa uaminifu, tunahisi furaha halisi.

Kwa kutii mipango yote ya Mungu,

tunaona hali ya ajabu ya Mungu.

Mioyo yetu inaweza kumpenda Mungu na tuna furaha,

haya ni maisha ya mwanadamu mpya.

2

Tunafanya vitu vyote kwa kanuni za ukweli, tunamtumikia Mungu kwa kweli.

Tunampenda Mungu kwa kimya na mioyo yetu na tunajali matamanio ya moyo Wake.

Tunaishi kulingana na ukweli wa maneno ya Mungu na mioyo yetu imewekwa huru.

Tunatii kikamilifu mipangilio ya Mungu, tumepata idhini Yake.

Zaidi ya hukumu ya Mungu tunayopitia,

ndivyo tunavyohisi uzuri wa Mungu zaidi.

Tabia yetu potovu imebadilika,

na hatuwezi kumpenda Mungu vya kutosha.

Tukiwa na ukweli kama maisha yetu,

tunapata mfanano wa binadamu.

Kupata ukweli si rahisi;

baada ya maumivu unakuja utamu.

Kwa kupitia maneno ya Mungu

na kupata uzima, tunaishi katika nuru.

Kwa kutekeleza wajibu wa mwanadamu kwa uaminifu, tunahisi furaha halisi.

Kwa kutii mipango yote ya Mungu,

tunaona hali ya ajabu ya Mungu.

Mioyo yetu inaweza kumpenda Mungu na tuna furaha,

haya ni maisha ya mwanadamu mpya.

Tunakuwa na ushuhuda kupitia mateso na dhiki,

sisi ni askari wema wa Kristo.

Tunateseka kwa ajili ya ukweli

na tunaishi maisha yenye maana.

Taabu, usafishaji na mateso

ndiyo njia ya kuwakamilisha wenye haki.

Tutamfuata daima na kumshuhudia Mungu,

tunaishi kulingana na maisha ya kweli ya binadamu.

Kwa kupitia maneno ya Mungu

na kupata uzima, tunaishi katika nuru.

Kwa kutekeleza wajibu wa mwanadamu kwa uaminifu, tunahisi furaha halisi.

Kwa kutii mipango yote ya Mungu,

tunaona hali ya ajabu ya Mungu.

Mioyo yetu inaweza kumpenda Mungu na tuna furaha,

haya ni maisha ya mwanadamu mpya.

Iliyotangulia:Kuenda Nyumbani

Inayofuata:Kutembea kwenye Njia Sahihi ya Maisha ya Binadamu

Maudhui Yanayohusiana

 • Tilia Maanani Majaliwa ya Binadamu

  1 Mungu anawahimiza watu wa makabila yote, nchi zote na hata nyanja: Sikilizeni sauti ya Mungu na kuona kazi Yake; tilia maanani jaala ya binadamu; mf…

 • Kusudi la Kazi ya Mungu la Usimamizi

  1 Mungu ana mpango wa usimamizi wa miaka 6,000, uliyogawanywa katika hatua tatu, kila moja inaitwa enzi. Kwanza ni Enzi ya Sheria, kisha Enzi ya Neema…

 • Upendo wa Kweli

  1 Namrudia Mungu na kuuona uso Wake upendezao, nikiwa huru kutokana na udhibiti wa kaida za dini. Neno Lake linanijaza na raha na furaha kutoka kwa ne…

 • Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu

  I Kama washiriki wa jamii ya wanadamu, kama wafuasi wa Kristo wa dhati, ni wajibu wetu, jukumu letu kutoa akili zetu na miili yetu kwa kutimiza agizo …