Ukadiriaji wa Ayubu na Mungu na kwenye Biblia

Ukadiriaji wa Ayubu na Mungu na kwenye Biblia

Ayubu 1:1 Kulikuwa na mtu katika nchi ya Uzi, ambaye aliitwa Ayubu; na huyo mtu alikuwa mtimilifu na mwaminifu, na ambaye alimcha Mungu, na kuepuka maovu. Ayubu 1:5 Na ilikuwa hivyo, wakati hizo siku zao za karamu zil…

2019-09-07 13:14:58

Shetani Anamjaribu Ayubu kwa Mara ya Kwanza (Mifugo Yake Yaibiwa na Janga Lawapata Watoto Wake)

Shetani Anamjaribu Ayubu kwa Mara ya Kwanza (Mifugo Yake Yaibiwa na Janga Lawapata Watoto Wake)

a. Maneno Yaliyotamkwa na Mungu Ayubu 1:8 Naye Yehova akasema kwa Shetani, je, umemfikiria mtumishi wangu Ayubu, kwamba hakuna hata mtu kama yeye duniani, mtu mtimilifu na mwaminifu, ambaye anamcha Mungu, na kuepuka m…

2019-09-07 13:16:03

Shetani Amjaribu Ayubu Mara Nyingine Tena (Majipu Mabaya Yaupiga Mwili wa Ayubu)

Shetani Amjaribu Ayubu Mara Nyingine Tena (Majipu Mabaya Yaupiga Mwili wa Ayubu)

a. Maneno Yaliyotamkwa na Mungu Ayubu 2:3 Naye Yehova akasema kwa Shetani, je, umemfikiria mtumishi wangu Ayubu, kwamba hakuna hata mtu kama yeye duniani, mtu mtimilifu na mwaminifu, ambaye anamcha Mungu, na kuepuka m…

2019-09-07 13:17:00

Kutoelewa Kwingi Kwa Watu Kuhusu Ayubu

Kutoelewa Kwingi Kwa Watu Kuhusu Ayubu

Ugumu aliopitia Ayubu haukuwa kazi ya malaika waliotumwa na Mungu, wala haukusababishwa na mkono wa Mungu mwenyewe. Badala yake, ulisababishwa na Shetani mwenyewe, adui wa Mungu. Hivyo basi, kiwango cha ugumu alioupitia …

2019-09-07 13:17:57

Ayubu Amshinda Shetani na Kuwa Binadamu Wa Kweli Machoni pa Mungu

Ayubu Amshinda Shetani na Kuwa Binadamu Wa Kweli Machoni pa Mungu

Wakati Ayubu alipopitia majaribio yake kwa mara ya kwanza, alinyang’anywa mali yake yote na watoto wake wote, lakini hakujisujudia na kusema chochote ambacho kilikuwa dhambi dhidi ya Mungu kutokana na hayo. Alikuwa amesh…

2019-09-07 13:18:42

Kuhusu Ayubu I

Kuhusu Ayubu I

Baada ya kusikia namna Ayubu alivyopitia majaribio, kunao uwezekano kwamba wengi wenu watataka kujua maelezo zaidi kuhusu Ayubu mwenyewe, hasa kuhusiana na siri iliyomfanya akapata sifa za Mungu. Hivyo basi leo, hebu tuz…

2019-09-07 13:19:48

Kuhusu Ayubu Ⅱ

Kuhusu Ayubu Ⅱ

Urazini wa Ayubu Uzoefu halisi wa Ayubu na ubinadamu wake wenye unyofu na uaminifu ulimaanisha kwamba alifanya uamuzi na uchaguzi wenye urazini zaidi alipozipoteza rasilimali zake na watoto wake. Machaguo kama hayo ya k…

2019-09-07 13:22:43

Uhusiano Kati ya Mungu kumpa Shetani Ayubu na Malengo ya Kazi ya Mungu

Uhusiano Kati ya Mungu kumpa Shetani Ayubu na Malengo ya Kazi ya Mungu

Ingawaje watu wengi sasa wanatambua kwamba Ayubu alikuwa mtimilifu na mnyofu na kwamba alimcha Mungu na kujiepusha na maovu, utambuzi huu hauwapi uelewa mkubwa zaidi wa nia ya Mungu. Wakati huohuo wakionea wivu ubinadamu…

2019-09-07 13:23:52

Onyo na Nuru Iliyotolewa kwa Vizazi vya Baadaye Na Ushuhuda wa Ayubu

Onyo na Nuru Iliyotolewa kwa Vizazi vya Baadaye Na Ushuhuda wa Ayubu

Huku wakielewa mchakato ambao Mungu anampata kabisa mtu, watu wataweza pia kuelewa nia na umuhimu wa Mungu kumpeleka Ayubu kwa Shetani. Watu hawasumbuliwi tena na maumivu makali ya Ayubu, na wanatambua upya umuhimu wake.…

2019-09-07 13:26:11

Imani ya Ayubu Katika Mungu Haitikisiki Kwa Sababu Mungu Amefichwa Kutoka Kwake

Imani ya Ayubu Katika Mungu Haitikisiki Kwa Sababu Mungu Amefichwa Kutoka Kwake

Ayubu Amesikia Kuhusu Mungu Kupitia Kusikiliza kwa Sikio Ayubu 9:11 Ona, anapita karibu na mimi, na simwoni: anapita kwenda mbele pia, lakini siwezi kumwona. Ayubu 23:8-9 Tazama, nasonga mbele, lakini hayuko huko; na…

2019-09-07 13:27:07

Ayubu Abariki Jina la Mungu na Hafikirii Baraka au Janga

Ayubu Abariki Jina la Mungu na Hafikirii Baraka au Janga

Kunao ukweli ambao haurejelewi katu kwenye hadithi za maandiko kuhusu Ayubu, ambayo ndio itakayokuwa zingatio letu leo. Ingawaje Ayubu alikuwa hajawahi kumwona Mungu au kusikia maneno ya Mungu kwa masikio yake mwenyewe, …

2019-09-07 13:27:57

Gharama Iliyoishi kwa kudhihirishwa na Ayubu Wakati wa Maisha Yake

Gharama Iliyoishi kwa kudhihirishwa na Ayubu Wakati wa Maisha Yake

Ayubu Baada ya Majaribio Yake Ayubu 42:7-9 Na basi ikawa, kwamba baada ya Yehova kusema maneno haya kwa Ayubu, Yehova akasema kwa Elifazi Mtemani, Ghadhabu yangu inawaka dhidi yako, na dhidi ya hao marafiki zako wawili:…

2019-09-07 13:28:56